Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


MAKALLA NDANI YA JIMBO LA KINONDONI AKAGUA UJENZI WA STENDI YA KISASA NA UWANJA WA MPIRA MWENGE

alternative

MAKALLA NDANI YA JIMBO LA KINONDONI AKAGUA UJENZI WA STENDI YA KISASA NA UWANJA WA MPIRA MWENGE 

Katibu wa NEC -Itikadi Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu Amos Makalla Leo amendelea na Ziara Jimbo la Kinondoni ikiwa ni Muendelezo wa Ziara yake ya kukagua na kuzungumza na Wananchi wa Majimbo 10 ya Uchaguzi Mkoa wa Dar es salam.

Makalla amekagua Ujenzi wa stendi ya Kisasa ya Mwenge na Uwanja wa Mpira wa Mwenge ambapo Miradi yote imekamilika kwa asilimia kubwa hivyo kisha akatoa neno kwa Wanachama na Wananchi kuwa Miradi hii shukrani zimuendee Dkt Samia Suluhu Hassan kwani ndie ameridhia ifanyike na sasa imekamilika tunaenda kuongeza ajira,kukuza Uchumi na Maendeleo kwa Wana Mwenge kwani yanayofanyika hayahitaji tochi .

🗓 17 Julai 2024.
Ziara ya Mlezi wa Mkoa wa Dar es salam.

alternative alternative alternative alternative alternative alternative
Habari Nyingine

Nukuu za Viongozi