Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussei Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi wa Serikali, Dini na Wananchi katika Sala ya Maiti, aliyekuwa Mke wa Marehemu Sheikh.Hyder Jabir Saleh E-Farsy,Marehemu Zulekha Ahmed Abdallah, ikiongozwa na Mtoto wa Marehemu Sheikh Ahmad Hyder Jabir E-Farsy,iliyofanyika katika Msikiti wa Mkuu wa Ijumaa Malindi Wilaya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Alhajj Othman Masoud Othman na (kushoto kwa Rais) Mbunge wa Jimbo la Mahonda Mhe. Abdalla Hassan Mwinyi na Mtoto wa Marehemu Sheikh Kassim Hyder Jabir.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussei Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi wa Serikali, Dini na Wananchi katika kuitikia dua ya kumuombea Marehemu Zulekha Ahmed Abdallah, baada ya kumalizika kwa Sala ya Maiti,iliyofanyika katika Msikiti wa Mkuu wa Ijumaa Malindi Wilaya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Alhajj Othman Masoud Othman na (kushoto kwa Rais) Mbunge wa Jimbo la Mahonda Mhe. Abdalla Hassan Mwinyi na Mtoto wa Marehemu Sheikh Kassim Hyder Jabir.(Picha na Ikulu)
Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi.
Ni ukweli usiopingika kwamba mchango wa mwanamke una nafasi muhimu katika uchumi, siasa na mustakabali wa Taifa, ukizingatia nafasi ya ulezi na ujenzi wa uchumi.