SIKU SABA ZA MOTO MKOANI MBEYA
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania bara John Mongella, amewasili katika ofisi za Chama cha Mapinduzi mkoa wa Mbeya kwa lengo la kufungua kampeni za Serikali za Mitaa zilizobeba ujumbe wa "SIKU SABA ZA MOTO" Mongella ameyasema hayo leo Tarehe 20.11.2024 akiwa anazungumza na viongozi pamoja na vijana wa UVCCM.