KATIBU WA NEC, SUKI RABIA ABDALLAH ATEMBELEA SHULE YA UONGOZI YA MWALIMU JULIUS NYERERE - KIBAHA PWANI
Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Ndugu Rabia Abdallah Hamad ametembea na Kukagua Mazingira ya Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere iliyopo Kibaha Pwani,
Aidha Ndugu Rabia alipata fursa ya Kuwasalimu Viongozi Vijana kutoka Tanzania na ANC ya Afrika Kusini waliofika katika Shule ya Uongozi kwaajili ya Kushiriki Mafunzo ya Viongozi Vijana wanaochipukia yaliyoanza tarehe 04 Decemba hadi 09 Decemba 2023 shuleni hapo.