VIONGOZI BORA WANAPATIKANA NDANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI
Mgombea Urais Mteule Dkt Samia Suluhu Hassan, Mgombea Mwenza wa Urais Mteule Dkt Emmanuel Nchimbi na Mgombea Urais Mteule Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi kwa Tiketi ya CCM Dkt. wakitambulishwa Rasmi na kusalimiana na Wanachama Wa CCM Katika sherehe za Maadhimisho ya ya Miaka 48 ya Kuzaliwa kwa CCM Jamhuri, Dodoma
UMOJA WETU, NGUVU YETU✅