Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


PROF. KITILA MKUMBO AFUNGUA MAFUNZO YA VIONGOZI VIJANA WANAOCHIPUKIA - SHULE YA UONGOZI YA MWALIMU JULIUS NYERERE KIBAHA, PWANI
 

alternative

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Prof Kitila Mkumbo pamoja na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali wameshiriki Hafla ya Ufunguzi wa Mafunzo ya Uongozi kwa Viongozi Vijana Wanaochipukia kutoka Tanzania kwenye Sekta Binafsi na Taasisi za Umma pia Viongozi kutoka Chama cha ANC cha Afrika Kusini wameshiriki mafunzo hayo ikiwa ni Miongoni mwa Vyama Sita Rafiki kutoka Kusini mwa Afrika wanaomiliki Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere iliyopo Kibaha Pwani, Hafla ya Ufunguzi imefanyika mapema leo tarehe 05 Decemba 2023.
 

alternative alternative alternative alternative alternative
Habari Nyingine

Nukuu za Viongozi