NDG. RABIA (MCC) AKUTANA NA BALOZI CP SUZAN KAGANDA - ZIMBABWE
Katibu wa NEC - Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI) na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Ndg. Rabia Abdalla Hamid, akiwa Zimbabwe, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini humo Mhe. CP Suzan Kaganda katika Ofisi za Ubalozi huo.
#KidumuChamaChaMapinduzi
#KidumuChamaChaZANU-PF