Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla amesema amefurahishwa na ushirikiano unaotolewa na wananchi wa Kisiwa cha Tumbatu kwa wakandarasi wanaojenga miradi mbali mbali ya maendeleo kisiwani humo.
Ameyasema hayo katika ziara yake ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa skuli ya Sekondari ya ghorofa ( G+3 ) inayojengwa katika kijiji cha Tumbatu Gomani Mhe. Hemed amesema dhamira ya Serikali ya Awamu ya Nane ( 8) inayoongozwa Rais Dkt. Mwinyi ni kuona wananchi wa Tumbatu wanapata huduma zote za stahiki za kimaendeleo kwa kiwango kinachokubalika sawa na sehemu nyengine.
Makamu wa Pili wa Rais amesema wananchi wa Tumbatu wana kila sababu ya kuunga mkono jitihada zinazofanywa na Dkt Mwinyi ikiwemo za kuwaletea maendeleo endelevu katika nyanja mbali mbali ikiwemo Elimu, Afya, Barabara, umeme na maji safi na salama ili ustawi wa wananchi wa Tumbatu uweze kuimarika zaidi.
Mhe. Hemed amewaahidi wananchi wa Kisiwa cha Tumbatu kuwa Serikali itahakikisha inazipatia ufumbuzi changamoto zilizomo kisiwani humo ikiwa ni pamoja na kuajiri madaktari wazawa na watumishi wa kada nyengine wanaotoka maeneo hayo ili kuepusha usumbufu wa kutokupatikana huduma kwa wakati.
Sambamba na hayo Mhe.Hemed amewataka wananchi wa Tumbatu na wazanzibar kwa ujumla kuendelea kudumisha Amani na ushirikiano uliopo nchini ili kuweza kupata maendeleo endelevu yatakayokuwa na faida kwa vizazi vya sasa na baadae.
Nae Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. LELA MOHAMED MUSSA amesema dhamira ya Rais Dkt Mwinyi ya kuleta mageuzi katika sekta ya elimu mijini na vijijini inaonekana wazi wazi kwa kujengwa skuli za kisasa zenye kukidhi mahitaji yote ya kufundishia na kujisomea.
Mhe. LELA amewashukuru wananchi wa Tumbatu kwa ushirikiano wao mkubwa na wakupigiwa mfano wanaowapatia Wizara ya elimu na wakandarasi wanaojenga miradi mbali mbali kisiwani hapo jambo linalowapa nguvu wakandarasi ya kumaliza ujenzi huo kwa wakati na kwa kiwango kilichokusudiwa.
Kwa upande wake Mkandarasi kutoka kampuni ya Simba Developers Ltd LUKAS LUKAS amesema licha ya kukabiliwa na changamoto ya usafirishaji wa material kwa ajili ya ujenzi kampuni itahakikisha inakabidhi jengo hilo mwishoni wa mwezi wa nane ili kuwawezesha wanafunzi kuendelea na masomo yao katika mazingira bora.
Lukas amesema kampuni ya Simba Developers inaahidi kulijenga jengo hilo kwa viwango na ubora wa hali ya juu ambalo litawahudumia zaidi ya wanafunzi 1890 kwa mkondo mmoja wa masom
DKT SAMIA:TUNAFANYA UCHAGUZI KWA FEDHA ZETU WENYEWE
28-10-2025
MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MANYARA
28-10-2025
π¨ππππ£πππππ πͺπ πππ§. π¦ππ ππ π¨π ππππ§π ππ ππ‘π ππͺπ πͺππ£ππ‘πππ‘π, πͺππππ¨ππππ πππ
πππ©πππͺ ππ πͺπͺ πΏπ π©. πππππ§π€ ππ¬ππ₯π€π ππ πππ€π£ππ€π―π π¬π πΎππΌπΏπππΌ π£π πΌπΎπ
28-10-2025
πππ§. π¦ππ ππ ππ§π¨π π‘πππ‘π π¬π ππ₯πππ π¬π ππππ’π π
28-10-2025
KATIBU MKUU WA CCM, BALOZI DKT. ASHA-ROSE MIGIRO AKUTANA NA RAIS MWINYI – ZANZIBAR
28-10-2025
ILANI YA UCHAGUZI YA CCM 2025-2030
28-10-2025
WASIRA:CCM HATUKATI MGOMBEA ILA TUNATEUA WACHACHE KATI YA WENGI
28-10-2025
WANACHAMA 280 WA CHADEMA WATIMKIA CCM
28-10-2025
BALOZI NCHIMBI: MAONI YOYOTE KUHUSU AMANI YA TANZANIA HAYATAPUUZWA
28-10-2025
π¦ππ₯πππππ π¬π π₯πππ¦ πππ§. π¦ππ ππ ππ ππͺπππ ππππ π π¬π π πππ‘πππππ’ ππππ π¦ππππ π¨ - ππ£π. ππ π’π¦ π ππππππ
28-10-2025
MAKALLA: BARABARA YA MPWAPWA NJIAPANDA KONGWA KUJENGWA LAMI
28-10-2025
BALOZI NCHIMBI AWASILI ARUSHA
28-10-2025
TAARIFA KWA UMMA
28-10-2025
UCHAGUZI MKUU SIO AJALI-WASIRA
28-10-2025
πͺπππ¨π ππ π π¦ππππππ¨π π©ππ’π‘ππ’ππ ππππππππ ππͺππ‘π¬π ππ¨π₯π ππ π ππ’π‘π - (π ππ) πππ©π¨
28-10-2025
MONGELLA AONGOZA MAZISHI YA KADA WA CCM JIJINI MWANZA
28-10-2025
ASIYETII SHERIA, KATIBA NA KUWA TAYARI KUUA KWA MASLAHI BINAFSI HUO NI UGAIDI’
28-10-2025
πππ π¬ππ¦ππ¦ππ§πππ πͺπππ’π πππ ππ¨πππππππͺπ ππͺπ ππ¨πππ‘πππ§ππ π¨πͺπππ’, π¨πππππ‘ππ’ π‘π π¨πππππππ¨, π¬ππππ ππ π πππ¨π‘ππ - πππ. πππ©π¨
28-10-2025
KAENI KIMYA KAMA HAMJUI NCHI ILIKOTOKA - WASIRA
28-10-2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefungua kiwanda cha kutengeneza mabomba ya maji na uchakataji pamba cha MOLI Oil Mills Co. Ltd kilichopo Bariadi Mkoani Simiyu tarehe 16 Juni, 2025.
28-10-2025