Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAZAZI TAIFA NDG. FADHIL MAGANYA AMPONGEZA MWENYEKITI WA CCM TAIFA NDG.SAMIA SULUHU HASSAN KWA KUTEULIWA KUPEPERUSHA BENDERA YA CCM KWENYE UCHAGUZI MKUU WA 2025

alternative

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa Ndg.Fadhil Maganya amempongeza Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Samia Suluhu Hassan kwa kupigiwa kura kwa asilimia 100% na wajumbe Mkutano Mkuu Maalumu kupeperusha bendera ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2025.

Sambamba na hilo Maganya akachukua nafasi hiyo pia kumpongeza Rais wa Zanzibara na Dkt.Hussein Mwinyi kwa kuteuliwa kugombea nafasi ya Rais kwa Zanzibar.

Mwisho akamalizia kwa kumpongeza Balozi Dkt.Emmanuel Nchimbi kwa kuteuliwa kuwa mgombea mwenza wa Urais 2025.

alternative alternative
Habari Nyingine