RATIBA YA CHAMA KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024
Je? Wewe ni Mwanachama wa CCM? Ili kufuatilia na kushiriki kikamilifu katika mchakato huu; Ifahamu Ratiba ya ndani ya Chama kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
#shirikiuchaguziwaserikalizamitaa2024
#Chamakazini