WAJUMBE WAMEITIKA, DODOMA NI YA KIJANI
WAJUMBE WAMEITIKA, DODOMA NI YA KIJANI
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa wakifurahia burudani zinazotolewa na wasanii mbalimbali katika mkutano unaoendelea tarehe 29-30 Mei 2025, katika ukumbi wa jakaya kikwete convention centre ; Jijini Dodoma