MAKALLA: CCM INAJIVUNIA KAZI ZILIZOFANYWA NA DR SAMIA. SULUHU
VUNJO: Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema utekelezaji wa Ilani na maendeleo yaliyofanywa na Serikali ya CCM chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan ni turufu kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Akizungumza na wananchi katika eneo la Himo Wilaya ya Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro leo Juni 10, akiwa katika ziara ya yake ya kujenga chama Makalla alieleza hayo akisisitiza Rais Samia amepeleka maendeleo kwa wingi na kuwafanya kutotumia nguvu kuyaeleza pale muda utakapofika.
Makalla amesema CCM inamuona Rais Samia ni karata muhimu sana katika uchaguzi huo kwani kwa kazi alizozifanya anaingia katika historia kuwa kiongozi aliyoongoza kwa kupeleka fedha za maendeleo zinazoacha alama ambazo zitakipa nguvu chama chao hapo baadaye.
Amesema Rais Samia ametekeleza mambo mengi kwa kugusa sekta tofauti ikiwemo maji, umeme, elimu, afya, miundombinu ya barabara na mengineyo aambayo yamefilisi ajenda za wapinzani.
Makalla amepongeza taarifa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo iliyotolewa na Mbunge wa Jimbo la Vunjo, Dk Charles Kimei kwani ameenda kata kwa kata na kueleza hali halisi ya miradi na kuainisha kwa uwazi pale palipokuwa na changamoto.
Amesema baada ya kueleza mafanikio CCM ina wajibu wa kutatua changamoto na kukiri kupokea changamoto ya fidia kwa wananchi waliopisha ujenzi wa kituo katika eneo la Gona na kuahidi kulifikisha kwa Waziri wa Ujenzi, Abdallad Ulega kwa ajili ya kufanya tathmini ili waweze kupata stahiki zao.
DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO MAALUMU CHA KAMATI KUU YA CCM
09-12-2025
RAIS SAMIA AKIWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI WATEULE- IKULU CHAMWINO DODOMA
09-12-2025
WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA DODOMA (GENERAL)
09-12-2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ..
09-12-2025
RAIS SAMIA AKIHUTUBIA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
09-12-2025
DKT SAMIA:TUNAFANYA UCHAGUZI KWA FEDHA ZETU WENYEWE
09-12-2025
MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MANYARA
09-12-2025
π¨ππππ£πππππ πͺπ πππ§. π¦ππ ππ π¨π ππππ§π ππ ππ‘π ππͺπ πͺππ£ππ‘πππ‘π, πͺππππ¨ππππ πππ
πππ©πππͺ ππ πͺπͺ πΏπ π©. πππππ§π€ ππ¬ππ₯π€π ππ πππ€π£ππ€π―π π¬π πΎππΌπΏπππΌ π£π πΌπΎπ
09-12-2025
πππ§. π¦ππ ππ ππ§π¨π π‘πππ‘π π¬π ππ₯πππ π¬π ππππ’π π
09-12-2025
KATIBU MKUU WA CCM, BALOZI DKT. ASHA-ROSE MIGIRO AKUTANA NA RAIS MWINYI – ZANZIBAR
09-12-2025
ILANI YA UCHAGUZI YA CCM 2025-2030
09-12-2025
WASIRA:CCM HATUKATI MGOMBEA ILA TUNATEUA WACHACHE KATI YA WENGI
09-12-2025
WANACHAMA 280 WA CHADEMA WATIMKIA CCM
09-12-2025
BALOZI NCHIMBI: MAONI YOYOTE KUHUSU AMANI YA TANZANIA HAYATAPUUZWA
09-12-2025
π¦ππ₯πππππ π¬π π₯πππ¦ πππ§. π¦ππ ππ ππ ππͺπππ ππππ π π¬π π πππ‘πππππ’ ππππ π¦ππππ π¨ - ππ£π. ππ π’π¦ π ππππππ
09-12-2025
MAKALLA: BARABARA YA MPWAPWA NJIAPANDA KONGWA KUJENGWA LAMI
09-12-2025
BALOZI NCHIMBI AWASILI ARUSHA
09-12-2025
TAARIFA KWA UMMA
09-12-2025
UCHAGUZI MKUU SIO AJALI-WASIRA
09-12-2025
πͺπππ¨π ππ π π¦ππππππ¨π π©ππ’π‘ππ’ππ ππππππππ ππͺππ‘π¬π ππ¨π₯π ππ π ππ’π‘π - (π ππ) πππ©π¨
09-12-2025