MZEE SUMAYE: RAIS SAMIA AMEFUNGUA MILANGO YA KIDIPLOMASIA
BABATI: Waziri Mkuu Mstaafu, Mzee Fredrick Sumaye amesema Rais Samia Suluhu Hassan amefungua milango ya kidiplomasia ambayo imechangia ushirikiano mzuri na mataifa mengine na kuchangia ongezeko la wawekezaji kutoka nje ambao wamewekeza katika sekta mbalimbali.
Sumaye ameeleza hayo leo Juni 4,alipopata nafasi ya kusalimia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Mollel Papaa Wilaya ya Babati mkoani Manyara katika ziara ya Katibu wa NEC itikadi Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla katika mikoa ya kaskazini.
Pia amesema Rais Samia amedumisha utulivu na amani katika nchi kwa kurudisha amani kwa wafanyabiashara wa ndani ambayo imekuwa ni moja ya kivutio kwa wawekezaji wengine kutoka nje.
Aidha, alisema hapo awali wafanyabiashara walifunga biashara zao na kupoteza matumaini lakini Rais Samia alirudisha utulivu amani na matumaini kwa watanzania na pia watanzania walikuwa wamefungiwa milango katika nchi za nje lakini Rais Samia alifungua milango ga kidiplomasia.
“Rais Samia alifungua milango ga kidiplomasia ya nje leo wageni wamejaa, watalii na wawekezaji wanaimani na Tanzania na wanakuja kwa wingi kuwekeza katika nchi yetu na watanzania tunaombwa tushirikiane nao kama ikiwezekana, mama Samia amefanya kazi kubwa sana kurudisha ushirikiano wa kimataifa,” amesema Sumaye.
DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO MAALUMU CHA KAMATI KUU YA CCM
09-12-2025
RAIS SAMIA AKIWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI WATEULE- IKULU CHAMWINO DODOMA
09-12-2025
WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA DODOMA (GENERAL)
09-12-2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ..
09-12-2025
RAIS SAMIA AKIHUTUBIA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
09-12-2025
DKT SAMIA:TUNAFANYA UCHAGUZI KWA FEDHA ZETU WENYEWE
09-12-2025
MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MANYARA
09-12-2025
π¨ππππ£πππππ πͺπ πππ§. π¦ππ ππ π¨π ππππ§π ππ ππ‘π ππͺπ πͺππ£ππ‘πππ‘π, πͺππππ¨ππππ πππ
πππ©πππͺ ππ πͺπͺ πΏπ π©. πππππ§π€ ππ¬ππ₯π€π ππ πππ€π£ππ€π―π π¬π πΎππΌπΏπππΌ π£π πΌπΎπ
09-12-2025
πππ§. π¦ππ ππ ππ§π¨π π‘πππ‘π π¬π ππ₯πππ π¬π ππππ’π π
09-12-2025
KATIBU MKUU WA CCM, BALOZI DKT. ASHA-ROSE MIGIRO AKUTANA NA RAIS MWINYI – ZANZIBAR
09-12-2025
ILANI YA UCHAGUZI YA CCM 2025-2030
09-12-2025
WASIRA:CCM HATUKATI MGOMBEA ILA TUNATEUA WACHACHE KATI YA WENGI
09-12-2025
WANACHAMA 280 WA CHADEMA WATIMKIA CCM
09-12-2025
BALOZI NCHIMBI: MAONI YOYOTE KUHUSU AMANI YA TANZANIA HAYATAPUUZWA
09-12-2025
π¦ππ₯πππππ π¬π π₯πππ¦ πππ§. π¦ππ ππ ππ ππͺπππ ππππ π π¬π π πππ‘πππππ’ ππππ π¦ππππ π¨ - ππ£π. ππ π’π¦ π ππππππ
09-12-2025
MAKALLA: BARABARA YA MPWAPWA NJIAPANDA KONGWA KUJENGWA LAMI
09-12-2025
BALOZI NCHIMBI AWASILI ARUSHA
09-12-2025
TAARIFA KWA UMMA
09-12-2025
UCHAGUZI MKUU SIO AJALI-WASIRA
09-12-2025
πͺπππ¨π ππ π π¦ππππππ¨π π©ππ’π‘ππ’ππ ππππππππ ππͺππ‘π¬π ππ¨π₯π ππ π ππ’π‘π - (π ππ) πππ©π¨
09-12-2025