DK NCHIMBI AWAONGOZA WAJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA KUAGA NA KUTOA HESHIIMA ZA MWISHO KWA HAYATI ALHAJ ALI HASSAN MWINYI.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi akiongoza Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kuaga na kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Mwenyekiti Mstaafu wa CCM na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Awamu ya Pili, Hayati Alhaj Ali Hassan, Jumamosi, Machi 2, 2024, Uwanja wa Amaan, Zanzibar.