Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


π‚π‚πŒ πˆπŒπ„π„ππƒπ„π‹π„π€ πŠπ”πˆπŒπ€π‘πˆπ’π‡π€ π’π‡π”π†π‡π”π‹πˆ 𝐙𝐀 πŠπˆπ”π“π„ππƒπ€π‰πˆ πŠπ–π€ πŠπ”ππ”ππ”π€ π•π˜πŽπŒππŽ π•πˆππ˜π€ π•π˜π€ π”π’π€π…πˆπ‘πˆ - πƒπŠπ“. π’π€πŒπˆπ€

alternative

π‘΄π’‚π’ˆπ’‚π’“π’Š 194 π’šπ’‚π’Žπ’†π’π’–π’π’–π’π’Šπ’˜π’‚ 𝒏𝒂 π’Œπ’–π’”π’‚π’Žπ’ƒπ’‚π’›π’˜π’‚ π’Œπ’˜π’†π’π’šπ’† π’π’‡π’Šπ’”π’Š 𝒛𝒂 π‘Ύπ’Šπ’π’‚π’šπ’‚ π’”π’‚π’˜π’‚ 𝒏𝒂 88.7%

"Tumerahisha shughuli za kiutendaji kwa chama na jumuiya zake kwa kununua vyombo vipya vya usafiri katika ngazi za Taifa, Mikoa, Wilaya, Jimbo na Kata na hata kwenye mashina"

"Tayari tumenunua magari 194 yaliyosambazwa kwenye ofisi 149 za Wilaya kati ya ofisi 168 sawa na asilimia 88.7"

"Tumetoa magari 32 kwa ofisi za CCM katika mikoa yote , vilevile tumetoa magari 9 yani 3 kwa kila jumuiya za CCM yaani Wazazi, UWT na UVCCM"

"Ni shabaha yetu kuhakikisha wilaya 19 zilizobaki zinapata magari mapya kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025"

"Ngazi za kata , CCM tumegawa pikipiki 4 kwa kila ofisi nchi nzima hadi kufikia mwezi Novemba 2024 tulikamilisha zoezi hili kwa asilimia 100 nchi nzima"

"Tumefanya maamuzi haya tukitambua msingi wa chama chetu ni watu ambao wapo katika ngazi za chini ambao ni lazima tuwafikie"

alternative alternative
Habari Nyingine