ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM KATIKA MIKOA YA SIMIYU NA SHINYANGA
Katibu mkuu wa CCM Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi pamoja na serkrtariet ya CCM Taifa wanatarajia kuanza ziara katika mikoa ya simiyu na Shinyanga kuanzia tarehe 6-11 Oktoba 2024