ZIARA YA MLEZI WA MKOA WA KILIMANJARO
Katibu wa NEC Idara ya Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (Mb), akikabidhiwa zawadi na viongozi wa CCM Wilaya ya Siha fimbo ya jadi ya Mamlaka ya Ungozi na vazi la jadi la kumfanya mwenyeji wa Wilaya ya Siha, wakati wa ziara yake ya kujitambulisha kama Mlezi wa Mkoa wa Kilimanjaro leo tarehe 09 Oktoba 2023