BURUDANI
Burudani mbalimbali zikiendelea ndani ya ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center (JKCC) ikiwa ni siku ya pili ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM.