Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


RAIS SAMIA ASHIRIKI SALA YA EID AL ADHA MSIKITI WA MIKOCHENI KWA WARIOBA JIJINI DAR ES SALAAM.

alternative

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa , Ndugu. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Dua ya pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislam mara baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al Adha iliyosaliwa katika Msikiti wa Mikocheni kwa Warioba Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Juni, 2024.

alternative alternative
Habari Nyingine

Nukuu za Viongozi