RATIBA YA ZIARA YA NAIBU KATIBU MKUU WA CCM ZANZIBAR 9-12 SEPTEMBA 2024
Ratiba ya ziara ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM zanzibar Dkt. Mohammed Said Mohammed (dimwa) pamoja na wajumbe wa Kamati Maalum ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa, Zanzibar kutembelea na kukagua uhai wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya zote kisiwani - Pemba kuanzia tarehe 09 septemba, 2024 hadi 12 septemba, 2024