BALOZI DKT. NCHIMBI AKISALIMIANA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU NDG. FEDERICK SUMAYE
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk Emmanuel Nchimbi akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe.Frederick Sumaye mjini Katesh, Wilaya ya Hanang mkoani Manyara,muda mfupi kabla ya kuelekea kwenye mkutano wa hadhara akitokea kwenye ziara yake mkoani Singida leo Ijumaa Mei 31,2024.Mh Sumaye ni mkazi wa Kateshi