UZINDUZI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO WA CCM JIMBO LA MBARALI
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Waziri Mkuu Mstaafu Ndg. Mizengo Peter Pinda amezindua Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa CCM Jimbo la Mbarali leo Tarehe 10/09/2023 viwanja vya Stendi kata ya Rujewa.
Mhe. Pinda amemnadi mgombea na kumwombea kura Mgombea Ndg. Bahati Keneth Ndingo mbele ya wananchi na wanachama wa CCM wa Mbarali .