RAIS SAMIA ASHIRIKI KUMBUKIZI YA 3 YA URITHI WA MKAPA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Kumbukizi ya 3 ya Urithi wa Мкара katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 31 Julai, 2024.