KATIBU MKUU BALOZI DKT. NCHIMBI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA NNE MHE. JAKAYA KIKWETE.
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete amefanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi leo tarehe 01, Julai, 2024 katika ofisi yake binafsi Masaki jijini Dar es Salaam.