RAIS SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MGOMBEA URAIS WA MSUMBIJI KUPITIA CHAMA CHA FRELIMO NDG. DANIEL FRANSISCO.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na kufanya mazungumzo na Mgombea Urais wa Msumbiji kupitia Chama cha FRELIMO Ndugu Daniel Fransisco Chapo wakati alipofika Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 12 Juni, 2024.