Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Mkutano Mkuu Maalum wa CCM..

alternative

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Mkutano Mkuu Maalum wa CCM leo tarehe  18 Januari 2025, jijini Dodoma, ikiwa ni siku ya kwanza ya mkutano huo uliopangwa kufanyika kwa siku mbili, tarehe 18 na 19 Januari 2025. 
 

alternative alternative alternative alternative alternative alternative
Habari Nyingine