Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Mgombea Urais Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na wanachama, wakereketwa na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi katika sherehe za maadhimisho ya Miaka 48 ya Kuzaliwa kwa CCM leo 05 Februari 2025 uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma 🔰Umoja Wetu , Nguvu Yetu
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Mgombea Urais Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na wanachama, wakereketwa na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi katika sherehe za maadhimisho ya Miaka 48 ya Kuzaliwa kwa CCM leo 05 Februari 2025 uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma
🔰Umoja Wetu , Nguvu Yetu