Uzinduaji wa ugawaji wa Boti za Uvuvi 34 za mkopo nafuu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega, Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack, Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa pamoja na viongozi wengine wakati akikata utepe kuzindua ugawaji wa Boti za Uvuvi 34 za mkopo nafuu mara baada ya kuweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Bandari ya Uvuvi, Kilwa Masoko Mkoani Lindi tarehe 19 Septemba, 2023.