Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Taifa Ndugu Mohamed Kawaida (MCC) ameongoza Mamia ya Vijana katika matembezi ya kuwaunga mkono wagombea waliopitishwa na Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kwa ajili ya kupeperusha chama Kwa tiketi ya CCM Uchaguzi Mkuu mwaka huu 2025. #SafariYaUshindi
#SafariYaCCM
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Taifa Ndugu Mohamed Kawaida (MCC) ameongoza Mamia ya Vijana katika matembezi ya kuwaunga mkono wagombea waliopitishwa na Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kwa ajili ya kupeperusha chama Kwa tiketi ya CCM Uchaguzi Mkuu mwaka huu 2025.
#SafariYaUshindi
#SafariYaCCM