RAIS SAMIA ASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA MASHUJAA JIJINI DODOMA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amiri Jeshi Mkuu na Mwenyekiti wa CCM Taifa Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa katika Uwanja wa Mashujaa uliopo Mji wa Serikali Mtumba Mkoani Dodoma leo tarehe 25 Julai, 2024.
#TunaendeleaNaMama