NDG. RABIA (MCC) AKUTANA NA NDG. MUNYARADZI MACHACHA, KAMISHNA WA KISIASA WA KITAIFA NCHINI ZIMBABWE
Katibu wa NEC - Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI) na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Ndg. Rabia Abdalla Hamid, amefanya mazungumzo na Ndugu M.M. Machacha ambaye ni Kamishna wa Kisiasa wa Kitaifa ZANU-PF, aliyemwakilisha Katibu Mkuu wa chama hicho, Ndg. Dr. Obert M. Mpofu.
#KidumuChamaChaMapinduzi
#KidumuChamaChaZANU-PF