MAELFU YA VIJANA WAKUSANYIKA KUMPOKEA JOKATE IRINGA.
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Komredi Jokate Urban Mwegelo (MNEC) akizungumza na maelfu ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi waliojitokeza kumpokea katika Ofisi za CCM Mkoa wa Iringa tarehe 21 Juni, 2024