ANAYESEMA SERIKALI YA CCM HAIJAFANYA KAZI HUWENDA MTU HUYO ANA TATIZO LA KISAIKOLOJIA - DKT. NCHIMBI
" Tunao watu katika jamii ambao hao wasiposingizia au kusema uongo wanakosa usingizi, lazima watu kama hao tuwashauri na kuna wakati inabidi watu kama hao kupewa ushauri wa daktari wa kisaikolojia...unakuta mtu anasema tuu CCM haijafanya kazi yoyote unagundua huyu ana tatizo la kisaikolojia "
Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi wakati akizungumza kwenye Mkutano wa hadhara Wilayani Mpanda.
Pia, Balozi Dkt. Nchimbi amehimiza na kusisitza kujenga chama katika misingi ya haki na uswa.
" Hatupendi CCM kuwa kama vyama vya hao wengine ambao kazi yao ni kutukana watu tu, niwaombe wana CCM msiruhusu watu hao wakawachonganisha lazima muoneshe ukomavu kwa vitendo na mjibu kwa hoja wala msitukanane nao na hatuna sababu ya kuwa na vigugumizi ."
Aidha, Katibu Mkuu Dkt. Nchimbi amesistiza kuendelea kuunga mkono serikali ya CCM inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwakuwa inatanguliza maslahi ya Taifa kwa ujumla.
Sambamba na hilo,katika kuendelea kuweka misingi imara ya kulinda Taifa letu la Tanzania, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewataka Watanzania wote pasipo kujali itikadi ya vyama vyao, kabila wala dini.
"Amani na utulivu sio zawadi iliyoanguka bali ni jambo lililofanyiwa kazi kuanzia Hayati Baba wa Taifa Rais Mwl. Nyerere hadi leo hii kwa Rais Dkt. Samia alipofikia, Marais wote katika hili wametimiza kiapo chao."
"Niwahikishie kwa uongoz wa Rais Dkt. Samia nchi yetu itaendelea kuwa na amani na nawaomba tuunge mkono amani na utulivu huu kuepukana na kuwasapoti baadhi wanaotaka kuhatarisha amani hii, nyinyi baadhi mnaishi mipakani na mnajua nchi bila amani inavyokuwa"
Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi
Katibu Mkuu wa CCM
ποΈ 13 Aprili, 2024
π Mpanda - Katavi
RAIS SAMIA AKIWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI WATEULE- IKULU CHAMWINO DODOMA
20-11-2025
WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA DODOMA (GENERAL)
20-11-2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ..
20-11-2025
RAIS SAMIA AKIHUTUBIA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
20-11-2025
DKT SAMIA:TUNAFANYA UCHAGUZI KWA FEDHA ZETU WENYEWE
20-11-2025
MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MANYARA
20-11-2025
π¨ππππ£πππππ πͺπ πππ§. π¦ππ ππ π¨π ππππ§π ππ ππ‘π ππͺπ πͺππ£ππ‘πππ‘π, πͺππππ¨ππππ πππ
πππ©πππͺ ππ πͺπͺ πΏπ π©. πππππ§π€ ππ¬ππ₯π€π ππ πππ€π£ππ€π―π π¬π πΎππΌπΏπππΌ π£π πΌπΎπ
20-11-2025
πππ§. π¦ππ ππ ππ§π¨π π‘πππ‘π π¬π ππ₯πππ π¬π ππππ’π π
20-11-2025
KATIBU MKUU WA CCM, BALOZI DKT. ASHA-ROSE MIGIRO AKUTANA NA RAIS MWINYI – ZANZIBAR
20-11-2025
ILANI YA UCHAGUZI YA CCM 2025-2030
20-11-2025
WASIRA:CCM HATUKATI MGOMBEA ILA TUNATEUA WACHACHE KATI YA WENGI
20-11-2025
WANACHAMA 280 WA CHADEMA WATIMKIA CCM
20-11-2025
BALOZI NCHIMBI: MAONI YOYOTE KUHUSU AMANI YA TANZANIA HAYATAPUUZWA
20-11-2025
π¦ππ₯πππππ π¬π π₯πππ¦ πππ§. π¦ππ ππ ππ ππͺπππ ππππ π π¬π π πππ‘πππππ’ ππππ π¦ππππ π¨ - ππ£π. ππ π’π¦ π ππππππ
20-11-2025
MAKALLA: BARABARA YA MPWAPWA NJIAPANDA KONGWA KUJENGWA LAMI
20-11-2025
BALOZI NCHIMBI AWASILI ARUSHA
20-11-2025
TAARIFA KWA UMMA
20-11-2025
UCHAGUZI MKUU SIO AJALI-WASIRA
20-11-2025
πͺπππ¨π ππ π π¦ππππππ¨π π©ππ’π‘ππ’ππ ππππππππ ππͺππ‘π¬π ππ¨π₯π ππ π ππ’π‘π - (π ππ) πππ©π¨
20-11-2025
MONGELLA AONGOZA MAZISHI YA KADA WA CCM JIJINI MWANZA
20-11-2025