NCHIMBI AUNGURUMA UWANJA WA FURAHISHA -MWANZA
Mkutano wa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi katika uwanja wa Furahisha Mkoani Mwanza ambapo amezungumza na Wanachama wa chama hicho na Wananchi wa Mkoa wa Mwanza leo tarehe 15 Agosti 2024.
Katika mkutano huo katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Amos Makalla aliongoza wanachama wa CCM katika zoezi alilo lianzisha lakuweza kumchangia Mheshimiwa Tindu Lissu wa Chadema mchango wakufanya matengenezo ya Gari lake.