Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


𝗞𝗨𝗦𝗜𝗡𝗜 𝗨𝗡𝗚𝗨𝗝𝗔 𝗬𝗔𝗜𝗧𝗜𝗞𝗔 𝗠𝗞𝗨𝗧𝗔𝗡𝗢 𝗪𝗔 𝗠𝗪𝗘𝗡𝗘𝗭𝗜 𝗠𝗔𝗞𝗔𝗟𝗟𝗔

alternative

 

Matukio picha ni Wananchi pamoja na Wanachama waliofurika katika viwanja vya Bungi  Mkoa wa Kusini Unguja kumsikiliza katibu wa NEC Itikadi , Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu Amos Makalla wakati akizungumza.

Mwenezi CPA Makalla yupo katika Visiwa vya Zanzibar katika ziara ya kikazi ya Mikoa sita ya Kichama na tayari amefanya Mikoa Minne.

alternative alternative alternative
Habari Nyingine