Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


MAPOKEZI YA SEKRETRIET YA CCM TAIFA KATORO GEITA

alternative

Wanachama cha Mapinduzi (CCM) na Wananchi wa  Katoro mkoa wa Geita wakiwa wamekusanyika kwenye mkutano wa hadhara leo Jumatatu Agosti 12,2024,wakisubiri kumsikiliza Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt.Emmanuel John Nchimbi, ambaye ameongozana na ujumbe wake kuendelea na ziara ya Mkoa wa Geita akitokea mkoa wa Kagera.

alternative
Habari Nyingine

Nukuu za Viongozi