CCM TUNA JUKUMU LA KUHAKIKISHA KAZI ZA RAIS ZINAJULIKANA NA WANAOKWAMISHA WANACHUKULIWA HATUA - MWENEZI MAKONDA
Apokelewa Wilayani Rorya Mkoani Mara
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda amesema Chama Cha Mapinduzi kina jukumu la kuhakikisha kazi za Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, zinajulikana kila kona ya Nchi, Kuwashughulikia wanaokwamisha jitiahada za Serikali na kuwapa Imani Watanzania kuendelea kukiamini Chama.
Mwenezi Makonda amesema katika mkoa mmojawapo ambao wakisema wapo pamoja na wewe basi wanamaanisha ni pamoja na mkoa wa Mara ambapo ameeleza hata kipindi akigombea nafasi ya Uongozi watu wa Mara walimuhakikishia kumuunga mkono na hawakuyumba katika hilo.
Pia, Mwenezi Makonda amesema "Watoa taarifa ni kuwakimbia sababu kila siku wana matatizo, hawana sera wala mipango maana yake hawana dira, mfano sisi CCM sera yetu ya Elimu ni kutoa Elimu bure sasa waulizeni wao sera yao ya Elimu ni ipi? Wakisema kuna mchango shule fulani basi Sisi tunatuma watu watafuatilia na tutatatua changamoto hiyo kwahiyo ni Watoa taarifa tuu ambapo wakati mwingine si za kweli hivyo msiwaamini"
Aidha, Wananchi wa Rorya wamemzawadia Mwenezi Makonda zawadi ya Ngo'mbe.
DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO MAALUMU CHA KAMATI KUU YA CCM
09-12-2025
RAIS SAMIA AKIWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI WATEULE- IKULU CHAMWINO DODOMA
09-12-2025
WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA DODOMA (GENERAL)
09-12-2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ..
09-12-2025
RAIS SAMIA AKIHUTUBIA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
09-12-2025
DKT SAMIA:TUNAFANYA UCHAGUZI KWA FEDHA ZETU WENYEWE
09-12-2025
MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MANYARA
09-12-2025
π¨ππππ£πππππ πͺπ πππ§. π¦ππ ππ π¨π ππππ§π ππ ππ‘π ππͺπ πͺππ£ππ‘πππ‘π, πͺππππ¨ππππ πππ
πππ©πππͺ ππ πͺπͺ πΏπ π©. πππππ§π€ ππ¬ππ₯π€π ππ πππ€π£ππ€π―π π¬π πΎππΌπΏπππΌ π£π πΌπΎπ
09-12-2025
πππ§. π¦ππ ππ ππ§π¨π π‘πππ‘π π¬π ππ₯πππ π¬π ππππ’π π
09-12-2025
KATIBU MKUU WA CCM, BALOZI DKT. ASHA-ROSE MIGIRO AKUTANA NA RAIS MWINYI – ZANZIBAR
09-12-2025
ILANI YA UCHAGUZI YA CCM 2025-2030
09-12-2025
WASIRA:CCM HATUKATI MGOMBEA ILA TUNATEUA WACHACHE KATI YA WENGI
09-12-2025
WANACHAMA 280 WA CHADEMA WATIMKIA CCM
09-12-2025
BALOZI NCHIMBI: MAONI YOYOTE KUHUSU AMANI YA TANZANIA HAYATAPUUZWA
09-12-2025
π¦ππ₯πππππ π¬π π₯πππ¦ πππ§. π¦ππ ππ ππ ππͺπππ ππππ π π¬π π πππ‘πππππ’ ππππ π¦ππππ π¨ - ππ£π. ππ π’π¦ π ππππππ
09-12-2025
MAKALLA: BARABARA YA MPWAPWA NJIAPANDA KONGWA KUJENGWA LAMI
09-12-2025
BALOZI NCHIMBI AWASILI ARUSHA
09-12-2025
TAARIFA KWA UMMA
09-12-2025
UCHAGUZI MKUU SIO AJALI-WASIRA
09-12-2025
πͺπππ¨π ππ π π¦ππππππ¨π π©ππ’π‘ππ’ππ ππππππππ ππͺππ‘π¬π ππ¨π₯π ππ π ππ’π‘π - (π ππ) πππ©π¨
09-12-2025