FAIDA YA SAFARI YA RAIS SAMIA NCHINI CHINA
Maana ya safari hii kwa uchumi wa Tanzania
- Uchumi wa Kidigitali
Hii inasaidia kuongeza uwezo katika sekta ya teknolojia na mawasiliano
- Ushirikiano katika uchumi wa buluu
Hii inasaidia katika kuimarisha shughuli za uvuvi na rasilimali za baharini
#CCMImara
#VitendoVinaSauti
#TunaendeleaNaMama
#ShirikiUchaguziSerikaliZaMitaa
#KaziIendelee