HABARI_PICHA: MKUTANO WA HADHARA KOROGWE - TANGA
Matukio mbalimbali toka katika Mkutano wa Hadhara Korogwe Mkoa wa Tanga ambapo leo Juni 7,2024 Katibu Mkuu wa CCM Balozi Ndg. Dkt. Emmanuel Nchimbi ameanza ziara katika mkoa wa Tanga ikiwa ni mkoa wa tano tangu kuanza kwake ziara.