Mkutano Mkuu wa Mabadiliko ya Tabia ya nchi Africa (Africa Climate Summit 23)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Mikutano mbalimbali kando ya mkutano Mkuu wa Mabadiliko ya Tabia ya nchi Africa (Africa Climate Summit 23) unaofanyika katika Jiji la Nairobi Nchini Kenya.