MAKALLA: TANZANIA NA KENYA TUNA UHUSIANO MZURI WA KIHISTORIA
MAKALLA: TANZANIA NA KENYA TUNA UHUSIANO MZURI WA KIHISTORIA
TARAKEA- ROMBO: Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema uhusiano uliopo kati ya Tanzania na Kenya ni mzuri na ni wahisistoria kutokana na mataifa hayo kutegemeana katika shughuli za biashara na kichumi.
Makalla ameeleza hayo leo Juni 9,2025 wakati akihutubia mkutano hadhara katika eneo la Tarakea wilayani Rombo mkoani Kilimanyaro akipomgeza marais wa nchi mbili Dr samia Suluhu na William Ruto kwa kuendelea kuimarisha mahusiano ya nchi mbili na kuchochea kukua kwa Biashara
Amesema kuna muingiliano wa biashara kati ya mataifa hayo mawili kwani kuna wakenya wanaokwenda kulima viazi Rongai na Watanzania wanakwenda kulima Kenya, pia wanategemeana katika biashara zikiwemo za mbogamboga
Pia Makalla amewapongeza viongozi wa mataifa hayo mawili kwa kuendelea kulinda na kuimarisha uhusiano mzuri uliopo ambao ulijengwa na waasisi wa mataifa hayo mawili, kwani kutegemeana kwao kunachagizwa na amani na utulizu uliopo.
Makalla amewataka wananchi wa eneo hilo ambalo ni mpakani kuwa mabalozi wazuri kwa kushirikiana na wakenya vizuri kwa sababu mataifa hayo yanategemeana na kutegemeana huko kunachagizwa na amani na utulivu uliopo katika mataifa
CCM NA FRELIMO KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIUCHUMI
14-03-2026
UZINDUZI WA JENGO LA MAKAO MAKUU YA ULINZI WA TAIFA
14-03-2026
CCM YAIPA POLE MSUMBIJI KWA KUKUMBWA NA MAFURIKO
14-03-2026
INJINI YA CHAMA CHA MAPINDUZI IPO MASHINANI; DKT.MIGIRO
14-03-2026
DK.MIGIRO:CCM INAJENGWA KUANZIA NGAZI YA MASHINA SIO MAJUKWAANI.
14-03-2026
πππ¦πππ‘ππ’ πππ πππ§. π ππππ₯π’ ππππ£π’πππππͺπ ππͺπ π¦πππ‘ππͺπ πππ₯ ππ¦ π¦πππππ
14-03-2026
NAIBU KATIBU MKUU WA CCM BARA AMWAKILISHA KATIBU MKUU WA CCM KWENYE MSIBA WA MBUNGE WA JIMBO LA PERAMIHO
14-03-2026
π©ππππ‘π π§π¨ππππ‘ππ ππ ππ‘π π¬π π‘πππ π¬ππ§π¨ - π πͺππ‘πππ πππ‘ππ‘π
14-03-2026
DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO MAALUMU CHA KAMATI KUU YA CCM
14-03-2026
RAIS SAMIA AKIWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI WATEULE- IKULU CHAMWINO DODOMA
14-03-2026
WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA DODOMA (GENERAL)
14-03-2026
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ..
14-03-2026
RAIS SAMIA AKIHUTUBIA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
14-03-2026
DKT SAMIA:TUNAFANYA UCHAGUZI KWA FEDHA ZETU WENYEWE
14-03-2026
MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MANYARA
14-03-2026
π¨ππππ£πππππ πͺπ πππ§. π¦ππ ππ π¨π ππππ§π ππ ππ‘π ππͺπ πͺππ£ππ‘πππ‘π, πͺππππ¨ππππ πππ
πππ©πππͺ ππ πͺπͺ πΏπ π©. πππππ§π€ ππ¬ππ₯π€π ππ πππ€π£ππ€π―π π¬π πΎππΌπΏπππΌ π£π πΌπΎπ
14-03-2026
πππ§. π¦ππ ππ ππ§π¨π π‘πππ‘π π¬π ππ₯πππ π¬π ππππ’π π
14-03-2026
KATIBU MKUU WA CCM, BALOZI DKT. ASHA-ROSE MIGIRO AKUTANA NA RAIS MWINYI – ZANZIBAR
14-03-2026
ILANI YA UCHAGUZI YA CCM 2025-2030
14-03-2026
WASIRA:CCM HATUKATI MGOMBEA ILA TUNATEUA WACHACHE KATI YA WENGI
14-03-2026