KINANA:HAYATI MWINYI NDIYE ALIANZISHA MFUMO WA VYAMA VINGI NA KUJENGA UCHUMI HURIA.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Ndg. Abdulrahman Kinana ameyasema hayo Machi 1, 2024 wakati akitoa salamu za pole kwa familia, viongozi na wananchi wakati wa kuaga mwili wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Ali Hassan Mwinyi katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam.