Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, akiwasalimia Wanachama wa CCM,na Wafuasi wa chama hicho na Wananchi njia panda Himo wakati akielekea kwenye Mkutano wa Hadhara wilaya ya Mwanga

alternative

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, akiwasalimia Wanachama wa CCM,na Wafuasi wa chama hicho na Wananchi njia panda Himo wakati akielekea kwenye Mkutano wa Hadhara wilaya ya Mwanga,mkoani Kilimanjaro leo Alhamisi Juni 6,2024, ikiwa ni siku ya tatu ya ziara yake ya kikazi mkoani humo.

Katika ziara hiyo Katibu Mkuu wa CCM ameambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Oganaizesheni, Ndugu Issa Usi Haji Gavu, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu Amos Gabriel Makalla na Ndugu Rabia Hamid Abdalla, Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI).

alternative alternative alternative alternative alternative alternative
Habari Nyingine

Nukuu za Viongozi