MKUTANO WA NDANI ARUSHA, ZIARA YA KATIBU MKUU DKT. NCHIMBI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na Wanachama na Viongozi wa Chama na Serikali na wawakilishi wa makundi mbalimbali Mkoa wa Arusha, kwenye mkutano wa ndani uliofanyika jijini Arusha, ikiwa ni siku ya pili ya ziara yake mkoani humo.