Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(Bara) Ndugu Abdulrahman Kinana akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uganda Nchini Tanzania. Kanali Mstaafu Fredy Mwesigye, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(Bara) Ndugu Abdulrahman Kinana akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uganda Nchini Tanzania. Kanali Mstaafu Fredy Mwesigye, leo Februari 21, 2024 , katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam.