GAVU ASISITIZA KUIMARISHWA USHIRIKIANO TANZANIA, CHINA.
Na Mwandishi Maalumuu,
Shandong - China
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Idara ya Oganaizesheni, Issa Gavu, amesisitiza umuhimu wa kuendeleza uhusiano baina ya Tanzania na Jamhuri ya Watu wa China kwa maslahi ya nchi hizo na watu wake.
Pia, amehimiza kudumisha uhusiano wa karibu kati ya CCM na Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC).
Gavu ameeleza hayo jana katika hafla ya
uzinduzi wa mafunzo maalum ya kuimarisha ushirikiano wa kihistoria kati ya Tanzania na China, pamoja na kudumisha uhusiano wa kati ya CCM na CPC, yanayofanyika katika Chuo cha Shandong Foreign Trade Vocational, kilichopo Mkoa wa Shandong, China.
Alisema uhusiano wa nchi hizo ambao uliasisiwa na Hayati Mwalimu Julius Nyerere na Mwenyekiti Mao Zedong, umeendelea kudumu kutokana na misingi ya kuheshimiana, kutokuingiliana katika mambo ya ndani, na kusaidiana kwa faida ya pande zote.
“Urafiki wetu si wa majira fulani, bali ni wa kudumu. Ushirikiano wa CCM na CPC unapaswa kuwa mfano wa mshikamano wa kweli katika enzi za mabadiliko ya kidunia.”
Aidha, alieleza mafanikio ya ushirikiano huo hayawezi kutenganishwa na uongozi imara wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan na Rais Xi Jinping wa China.
"Rais Samia amekuwa mfano wa uongozi wa kisasa barani Afrika, anaimarisha mageuzi ya kiuchumi, diplomasia, maendeleo na uwazi wa kimataifa.
"Viongozi wa kimataifa wametambua mchango wake mkubwa katika kuipa Tanzania nafasi ya kimkakati duniani," amesema Gavu.
Akimzungumzia Rais Xi, ameiongoza China kwa mafanikio makubwa ya kiuchumi na kiteknolojia na kuhimiza ushirikiano wa kweli na mataifa mengine kupitia dira ya 'Belt and Road Initiative'.
DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO MAALUMU CHA KAMATI KUU YA CCM
09-12-2025
RAIS SAMIA AKIWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI WATEULE- IKULU CHAMWINO DODOMA
09-12-2025
WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA DODOMA (GENERAL)
09-12-2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ..
09-12-2025
RAIS SAMIA AKIHUTUBIA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
09-12-2025
DKT SAMIA:TUNAFANYA UCHAGUZI KWA FEDHA ZETU WENYEWE
09-12-2025
MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MANYARA
09-12-2025
π¨ππππ£πππππ πͺπ πππ§. π¦ππ ππ π¨π ππππ§π ππ ππ‘π ππͺπ πͺππ£ππ‘πππ‘π, πͺππππ¨ππππ πππ
πππ©πππͺ ππ πͺπͺ πΏπ π©. πππππ§π€ ππ¬ππ₯π€π ππ πππ€π£ππ€π―π π¬π πΎππΌπΏπππΌ π£π πΌπΎπ
09-12-2025
πππ§. π¦ππ ππ ππ§π¨π π‘πππ‘π π¬π ππ₯πππ π¬π ππππ’π π
09-12-2025
KATIBU MKUU WA CCM, BALOZI DKT. ASHA-ROSE MIGIRO AKUTANA NA RAIS MWINYI – ZANZIBAR
09-12-2025
ILANI YA UCHAGUZI YA CCM 2025-2030
09-12-2025
WASIRA:CCM HATUKATI MGOMBEA ILA TUNATEUA WACHACHE KATI YA WENGI
09-12-2025
WANACHAMA 280 WA CHADEMA WATIMKIA CCM
09-12-2025
BALOZI NCHIMBI: MAONI YOYOTE KUHUSU AMANI YA TANZANIA HAYATAPUUZWA
09-12-2025
π¦ππ₯πππππ π¬π π₯πππ¦ πππ§. π¦ππ ππ ππ ππͺπππ ππππ π π¬π π πππ‘πππππ’ ππππ π¦ππππ π¨ - ππ£π. ππ π’π¦ π ππππππ
09-12-2025
MAKALLA: BARABARA YA MPWAPWA NJIAPANDA KONGWA KUJENGWA LAMI
09-12-2025
BALOZI NCHIMBI AWASILI ARUSHA
09-12-2025
TAARIFA KWA UMMA
09-12-2025
UCHAGUZI MKUU SIO AJALI-WASIRA
09-12-2025
πͺπππ¨π ππ π π¦ππππππ¨π π©ππ’π‘ππ’ππ ππππππππ ππͺππ‘π¬π ππ¨π₯π ππ π ππ’π‘π - (π ππ) πππ©π¨
09-12-2025