Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza umuhimu wa kutunza amani kwa maendeleo na ustawi bora wa watu na Taifa.
Amesema amani na kuwaunganisha watu kuwa kitu kimoja ni chachu ya kujenga ustawi bora wa jamii na kukuza uchumi wa nchi.
Alhaj Dk. Mwinyi ameyasema hayo Ikulu Zanzibar, alipokutana na Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Waislamu wa Madhehebu ya Shia, Tanzania ‘TIC’ Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge na ujumbe alioongozana nao.
Alhaj Dk. Mwinyi alisema maendeleo ya nchi hayaji eneo lenye vurugu au vita, yanaboreshwa kwenye utulivu, umoja, usalama na mshikamano wa watu, pia nia rahisi kuyafikia.
Alisema, hata kama hakuna maelewani kwa asilimia zote kwani hakuna jamii isiyo na migogoro lakini isipitilize ikawa tishio kwa amani, walao sehemu kubwa ya jamii iwe na maelewano ndipo mafanikio yanapatikana.
Pia, aliwashukuru viongozi wa dini wa madhehebu yote pamoja na wananchi wa kuendelea kuhubiri na kuiombea nchi amani na mshikamano, vilevile ameendelea kumuomba Mwenyezi Mungu aendelea kuidumisha nchi kwenye amani na utulivu uliopo kwa mafanikio makubwa.
Halkadhalika, ameendelea kuwashukuru viongozi hao wadini wa medhehebu yote kwa kuendelea kuwaombea heri, amani na mafanikio makuwa viongozi na serikali ili kuendelea kukamilisha vyema mipango ya sekali kwa maendeleo ya nchi kwa ujumla.
Naye, Sheikh Jalala amempongeza Rais Dk. Mwinyi kwa kazi nzuri ya maendeleo kupitia sekta mbalimbali ikiwemo mafanikio makubwa yaliyofikiwa kwenye huduma za jamii, ikiwemo maji safi, umeme, elimu na afya, halikadhalika miundombinu ya barabara na mawasiliano.
Kwa upande wake Msemaji wa Jumuia hiyo, Yasmin Aloo pia amepongeza mafanikio makubwa ya maendeleo yaliyofikiwa na awamu ya nane ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ndani ya kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wake.
Jumuiya ya Waislamu wa Madhehebu ya Shia, Tanzania ‘TIC’, ilisajiliwa tangu mwaka 1992.
DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO MAALUMU CHA KAMATI KUU YA CCM
09-12-2025
RAIS SAMIA AKIWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI WATEULE- IKULU CHAMWINO DODOMA
09-12-2025
WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA DODOMA (GENERAL)
09-12-2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ..
09-12-2025
RAIS SAMIA AKIHUTUBIA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
09-12-2025
DKT SAMIA:TUNAFANYA UCHAGUZI KWA FEDHA ZETU WENYEWE
09-12-2025
MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MANYARA
09-12-2025
π¨ππππ£πππππ πͺπ πππ§. π¦ππ ππ π¨π ππππ§π ππ ππ‘π ππͺπ πͺππ£ππ‘πππ‘π, πͺππππ¨ππππ πππ
πππ©πππͺ ππ πͺπͺ πΏπ π©. πππππ§π€ ππ¬ππ₯π€π ππ πππ€π£ππ€π―π π¬π πΎππΌπΏπππΌ π£π πΌπΎπ
09-12-2025
πππ§. π¦ππ ππ ππ§π¨π π‘πππ‘π π¬π ππ₯πππ π¬π ππππ’π π
09-12-2025
KATIBU MKUU WA CCM, BALOZI DKT. ASHA-ROSE MIGIRO AKUTANA NA RAIS MWINYI – ZANZIBAR
09-12-2025
ILANI YA UCHAGUZI YA CCM 2025-2030
09-12-2025
WASIRA:CCM HATUKATI MGOMBEA ILA TUNATEUA WACHACHE KATI YA WENGI
09-12-2025
WANACHAMA 280 WA CHADEMA WATIMKIA CCM
09-12-2025
BALOZI NCHIMBI: MAONI YOYOTE KUHUSU AMANI YA TANZANIA HAYATAPUUZWA
09-12-2025
π¦ππ₯πππππ π¬π π₯πππ¦ πππ§. π¦ππ ππ ππ ππͺπππ ππππ π π¬π π πππ‘πππππ’ ππππ π¦ππππ π¨ - ππ£π. ππ π’π¦ π ππππππ
09-12-2025
MAKALLA: BARABARA YA MPWAPWA NJIAPANDA KONGWA KUJENGWA LAMI
09-12-2025
BALOZI NCHIMBI AWASILI ARUSHA
09-12-2025
TAARIFA KWA UMMA
09-12-2025
UCHAGUZI MKUU SIO AJALI-WASIRA
09-12-2025
πͺπππ¨π ππ π π¦ππππππ¨π π©ππ’π‘ππ’ππ ππππππππ ππͺππ‘π¬π ππ¨π₯π ππ π ππ’π‘π - (π ππ) πππ©π¨
09-12-2025