KATIBU MWENEZI WA CCM AWASILI MKOANI ARUSHA KUANZA ZIARA YA SIKU SITA
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA Amos Makalla akizungumza na Mwenyekiti CCM Mkoa Arusha Loi Thomas Ole Sabaya(katikati) na Katibu wa CCM Mkoa Arusha Mussa Dadi Matoroka mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro kuanza ziara yake ya siku sita katika Mikoa ya Arusha na Manyara