KATIBU MKUU WA CCM BALOZI NDG. DKT NCHIMBI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA TANGA KATIKA MKUTANO WA HADHARA VIWANJA VYA LAMORE.
Matukio mbalimbali katika picha, Mkutano wa hadhara leo Juni 8,2024 katika viwanja vya Lamore jijini Tanga, Katibu Mkuu Balozi Ndg. Dkt. Emmanuel Nchimbi akizungumza na wananchi.
Katika ziara hii Dk Nchimbi ameambatana na Katibu wa NEC-Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Amosi Makalla, Katibu wa NEC-Organaizesheni Ndg. Issa Ussi Haji (Gavu) pamoja na Katibu wa NEC- Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Ndg. Rabia Abdallah Hamid.