RAIS SAMIA AMUAPISHA MHE. KENAN LABAN KIHONGOSI KUWA MKUU WA MKOA WA SIMIYU.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Kenan Laban Kihongosi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Juni, 2024.